Musa alikaidi kuitwa maana wa binti farao.

🖊 JICHO LA IMANI 👀 2020🖊

“Kwa imani Musa alipokuwa Mtu mzima, AKAKATAA kuitwa MWANA wa binti Farao;akaona ni afadhali kupata MATESO pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika DHAMBI kwa kitambo;

(Waebrania 11:24-25)

Mpendwa kuufahamu ukweli na kuendelea KUISHI katika maisha ya uchafu ni sawa na kubeza Neema ya wokovu na kazi ya Msalaba.
Ni wazi kwamba Sasa unajua walau kwa kiasi kuhusu Mungu lakini bado Kuna Mambo umeshikamana nayo kana kwamba huwezi KUISHI bila hayo, Sasa ni saa ya kutembea kwa Imani Kama Musa alivyokataa kuitwa Tena mwana wa watenda mabaya Bali Mwana wa Mungu na alikua tayari kwa lolote ilimradi tu asimtende Mungu dhambi.

Sijui umeshikamana na Jambo lipi, lakini iwapo halina Mungu jua halina mbingu, AMUA na kataa kuendelea kuitwa kwa Hilo, It is possible Kama ukitaka


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment