Mexico: Mlipuko katika kinu cha chuma, waua angalau watu 12

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Takriban watu kumi na wawili wamefariki siku ya Jumatano, Oktoba 30, wakati wa mlipuko kwenye kinu cha chuma katika jimbo moja katikati mwa Mexico, serikali ya eneo hilo imesema.

Takriban watu kumi na wawili wamefariki siku ya Jumatano, Oktoba 30, wakati wa mlipuko kwenye kinu cha chuma katika jimbo moja katikati mwa Mexico.
Takriban watu kumi na wawili wamefariki siku ya Jumatano, Oktoba 30, wakati wa mlipuko kwenye kinu cha chuma katika jimbo moja katikati mwa Mexico. © Achim Lippold / RFI

“Mtu mwingine amejeruhiwa na amelazwa hospitalini,” pia amebainisha mkuu wa polisi jamii ya jimbo la Tlaxcala, Juvencio Nieto, kwa kituo cha televisheni cha Televisa.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment