Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
Unataka Kupona MAUMIVU ya MOYO?…

i. Ukikumbuka tukio/maneno unasikia uchungu.
ii. Ukimuona/kumsikia unasikia maumivu.
iii.Unatamani apatwe na mabaya.
iv. Haufurahii kusikia anasifiwa/amefanikiwa.
v. Unatamani kulipiza kisasi.
vi. Unafanya bidii kuonesha kwamba hauna maumivu.
vii. Huwa unahisi kila mtu aliye karibu yako ana nia ya kukuumiza.
Katika Makala Hii Tutazungumzia Dalili Ya Tano.
– Unatamani Kulipa Kisasi
Kuna watu ambao wanatamani wangepata fursa ya kulipiza kisasi kwa mtu aliyewaumiza.
Yani, huwa wanatamani wangepata fursa hata ya kuwadhuru au kuwapoteza.
Pengine kinachowazuia kufanya hivyo ni imani yao kwa Mungu.
Au wengine ni kwa sababu hawajapata hiyo fursa ya kufanya hivyo.
Ukiona ndani yako kunachemka kabisa na unakuwa na shauku ya kulipiza kisasi, hiyo ni ishara tosha kuwa bado haujapona maumivu yanayokusumbua.
Kama unataka kujifunza Mbinu Za Kupona MAUMIVU ya MOYO…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.