Athari 4 Za Marafiki Katika Maisha Yetu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Jinsi Ya KUTENGENEZA Mtandao Wa MARAFIKI Utakaokusaidia KUTIMIZA MALENGO Yako Kwa Kasi…

i. Marafiki wanaathiri afya yako ya akili.

ii. Marafiki wanaathiri aina ya malengo unayojiwekea.

iii. Marafiki wanaweza kuathiri tabia ya matumizi ya fedha.

iv. Marafiki wanaathiri tumaini ulilonalo kwenye maisha.

Katika Makala Hii Tutazungumzia Athari Ya Nne Ya Marafiki.

– Marafiki wanaathiri tumaini ulilonalo kwenye maisha.

Marafiki wanaweza kukuhamasisha au kukuondolea kabisa hamasa uliyokuwa nayo.

Unapokuwa na marafiki ambao wamekata tamaa, haraka sana na wewe utaanza kukata tamaa.

Unapokuwa na marafiki ambao wameshindwa maisha, taratibu na wewe utajikuta katika hali yao.

Watu waliofanikiwa wako makini sana linapokuja suala la marafiki.

Ni watu wanaochagua sana aina ya watu wa kuwazunguka kwenye maisha yao.

Usifanye kosa kwenye hili, wapembue vizuri marafiki zako ujue wale watakaokufikisha pale unapotaka kufikia.

Kama unataka kujifunza Jinsi Ya KUTENGENEZA Mtandao Wa MARAFIKI Utakaokusaidia KUTIMIZA MALENGO Yako Kwa Kasi…

…LEO nashauri usome eBook yangu ya “MARAFIKI, Jinsi Ya KUTENGENEZA Mtandao Wa MARAFIKI Utakaokusaidia KUTIMIZA MALENGO Yako Kwa Kasi”.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment