Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
Kwa WANANDOA Wanaotaka Mafanikio Ya KIFEDHA…

i. Tofauti ya Vipaumbele
ii. Tofauti ya Mitazamo Ya Kipesa
iii. Ndugu wa Karibu
iv. Watoto wa Nje
v. Matumizi ya Kificho
vi. Mikopo ya Kificho
vii. Kushuka kwa Kipato
viii. Majukumu kwa Wazazi
ix. Uwekezaji Kwenye Biashara / Kampuni / Wazo
x. Ugonjwa
Katika Makala Hii Tutazungumzia Eneo la Saba
– Kushuka Kwa Kipato
Kama watu wamezoea maisha ya aina fulani halafu ghafla kipato kikabadilika na kikawataka kubadilisha baadhi ya vitu kama vile:
Aina ya nyumba wanayoishi, shule wanazosoma watoto etc.
Mambo haya huanza kuleta “stress” katika mahusiano na huweza kupelekea ugomvi mkubwa.
Mara nyingi katika nyakati hizi, mahitaji huwa ni makubwa na kipato cha kumudu huwa ni kidogo.
Hivyo kila pesa inapojadiliwa huwa ni kwa sababu haitoshi.
Na husababisha mazungumzo yawe na msuguano mkubwa sana.
Hii ndio maana mara kipato cha wanandoa kinaposhuka lazima kuwe na majadiliano ya namna ya kubadilisha mfumo wa maisha wa wahusika.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.