Kilichofanya wakina Mariam na Magdalena kuendelea kwenda kaburini alipo lala Yesu baada ya kufa wakiwa na manukato na manemane na uvumba sio tu upendo bali walillishika neno kama alivyosema Yesu kabla ya kufa atasurubiwa na kufa lakini siku ya
3 Atafufuka,kwaio walikua wanafanya hayo yote wakiamini atakuwa hai tena baada ya siku ya tatu.Hata wewe kuwa na imani na neno la Mungu na kulishika,Yesu akasema ndugu zake ni wale wanaolishika neno la Mungu na kulitii.
Mungu anakwenda kujibu maombi na hitaji lako kabla ya mwaka kuisha amini neno hili katika Jina la Yesu
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.