Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Radio Fortune Africa

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Naibu rais wa Kenya Gachagua atimliwa, usalama wa mashariki ya DRC wajadiliwa Luanda

Kuondolewa madarakani kwa naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua na uteuzi wa profesa Kithure Kindiki, serikali ya Kinshasa yakaribisha makubaliano yaliyoafikiwa kati ya mawaziri wa mambo ya nje wa DRC na Rwanda kuhusu suala kulitokomeza kundi la FDLR na Rwanda kusema iko tayari kuwaondoa wanajeshi kwenye ardhi ya Congo, maandamano ya upinzani kule Msumbiji baada ya uchaguzi mkuu, kuuawa kwa kiongozi wa Hamas Yahya Sunwar, uchaguzi mkuu wa Marekani na mengineyo.

Aliyekuwa makamu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Nairobi, Oktoba 7, 2024.
Aliyekuwa makamu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Nairobi, Oktoba 7, 2024. © LUIS TATO / AFP

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment