DRC Yaorodheshwa na CAF Kama Eneo Hatari Kiusalama kwa Mechi za Soka

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Daktari Emeruwa akizungumza na waandishi wa habari za michezo nchini Kenya baada warsha ya mafunzo ya kuimarisha usalama viwanjani amesema kila mechi ya kitaifa inayochezwa Drc wanawatuma maafisa wa usalama wa  CAF kusaidia kuimarisha usalama.

Confederation of African Football, CAF, safety and security head Dr. Christian Emeruwa  speaking in Nairobi during the CAF safe staadium initiative.
Confederation of African Football, CAF, safety and security head Dr. Christian Emeruwa speaking in Nairobi during the CAF safe staadium initiative. © CAF

Taifa la DRC ni miongoni mwa mataifa yaliorodheshwa na shirikisho la soka barani AfrikaCAF, kama nchi zenye maeneo hatari kiusalama wakati wa mechi za soka, Mkuu wa kitengo cha Usalama wa CAF, Daktari. Christian Emeruwa, amesema.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment