Hatari ya kujilinganisha na wengine.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa

Moja ya kitu ambacho kinaweza kupoteza mwelekeo wa mtu kwa haraka sana ni hali ya kujilinganisha na wengine.

Ingawa sio jambo baya kujifunza kwa wengine, ukifanya hivyo kwa nia ya kushindana inaweza kukuharibu.

Kuna watu wameishia kuchukua wenzao kwa sababu ya kupenda kujilinganisha.

Kinachotokea ni kuwa, kadiri wanavyojilinganisha ndio wanavyoona wenzao wanazidi kufanikiwa, na inaishia kuwaumiza moyo.

Hatari nyingine ni inaweza kukusababisha utoke kwenye mstari.

Utakapoanza kujilinganisha, utajikuta umeanza kufanya vitu vingine tofauti na mipango na malengo yako.

Ni kitu kizuri kujifunza kwa wengine Ila usijiruhusu kuishi kwa kila wakati kujilinganisha na kushindana nao, itakufelisha.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment