Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuna ile vita ya “Savior” wa watu fulani…
Yaani, inawezekana wewe Mungu amekuita ndiwe uwe sababu ya kuitoa familia yako Kwenye umaskini.
Amekupa hatima ya Kuja kubadilisha historia ya ukoo wenu.
Ndugu yangu, vita yako haitafanana na watu wengine.
Kuna mambo utapitia ni MAGUMU kuliko mtu yeyote Yule.
Kama wewe umepewa WITO na JUKUMU la kusaidia watu wa Taifa lako, wito wako hautakuwa wa KAWAIDA.
Yaani, utapitia MISUKOSUKO hadi ushangaa.
Naomba nikukumbushe kuwa, VITA inayoinuka Juu yako haitakuja kwa “level” ya ULIPO sasa hivi bali kwa level ya KULE UNAKOENDA.
Usijiulize Mbona wengine HAWAPITII haya, usilalamike UMEACHWA peke yako.
Unaandaliwa, Mungu amekuamini.
Ndio, katika familia na ukoo mzima, amekuamini wewe.
Katika Nchi Nzima amekuamini wewe.
Usiache kwa sababu UNAPITIA MAGUMU.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.