
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
i. Marafiki Wanaathiri Afya Yako Ya Akili.
ii. Marafiki Wanaathiri Aina Ya Malengo Unayojiwekea.
iii. Marafiki Wanaweza Kuathiri Tabia Ya Matumizi Ya Fedha.
iv. Marafiki Wanaathiri Tumaini Ulilonalo Kwenye Maisha.
Leo katika makala hii tutaangalia athari ya nne ya marafiki kwenye maisha yetu.
– Marafiki Wanaathiri Tumaini Ulilonalo Kwenye Maisha.
Marafiki wanaweza KUKUHAMASISHA au kukuondolea kabisa hamasa uliyokuwa nayo.
Unapokuwa na marafiki ambao wamekata tamaa, haraka sana na wewe UTAANZA kukata tamaa.
Unapokuwa na marafiki ambao wameshindwa
maisha, taratibu na wewe UTAJIKUTA katika hali yao.
Watu waliofanikiwa wako MAKINI sana linapokuja suala la marafiki.
Ni watu wanaochagua sana aina ya watu wa kuwazunguka kwenye maisha yao.
Usifanye kosa kwenye hili, WAPEMBUE vizuri marafiki zako ujue wale watakaokufikisha pale unapotaka kufikia.
Ukihitaji kujifunza kwa kina kuhusu Athari Nyingine 3 Kubwa a Marafiki Katika Maisha Yetu…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.