WAO WALIOPOKUWA WANATAZAMIA KUMMALIZA YEYE ALIKUWA ANATAZAMIA KUMALIZA KAZI.

Wakati waliomuua Yesu wakishangilia sana anapokaribia kukata roho wakisema sasa AMEKWISHA, wakijipongeza na kupeana zawadi kwa kugawana mavazi yake, wakimdhihaki kwa kila aina ya tusi na kejeli.

Walizidi kumdhihaki waliposikia maneno sita ya kwanza, wakamuona amejeruhiwa, anaumia, amekoma na wakawa wanasubiri amalizike kabisa waondoke kwa furaha, mwanaume alimalizia neno la saba kwa kusema IMEKWISHA.

Hakuna anayeweza elewa mateso na magumu yako kuna jambo unalikamilisha, hata kama wanapiga kelele wakidhani wewe ndio unamalizika wajibu kwa kumaliza jambo lako kwa KUSEMA IMEKWISHA MBELE YA WASEMAO UMEKWISHA.



CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!

Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.




Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment