TABIA 3 Za Watu WANAOFANIKIWA…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Kuwa na malengo yaliyoandikwa kila siku

ii. Weka vipaumbele vya Orodha yako

iii. Anza na jambo la muhimu zaidi.

Leo katika makala hii tutaangalia Tabia ya kwanza.

– Kuwa Na Malengo Yaliyoandikwa Kila Siku

Bila kujali unafanya shughuli ipi, kila siku yako lazima iwe imepangwa.

Na mambo yote uliyokusudia kuyafanya kwa siku husika ni lazima yajulikane.

Inashauriwa kuyaandaa malengo yako usiku kabla asubuhi haijafika.

Ila kama ukijikuta asubuhi imeshafika na hukuyaandaa usiku wake…

…basi kiwe ni kitu cha kwanza ambacho unatakiwa kufanya.

Leo, hakikisha unaandika malengo/majukumu yako yote unayotakiwa kuyafanya kwa siku nzima.

Utaalamu unaonesha kuwa kwa kila dakika moja unayoitumia kujiandaa unaokoa dakika 10 katika utekelezaji.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment