Mafanikio bora kabisa ni yakufanya kile ulichoumbiwa kufanya. Haya ni zaidi ya mafanikio ya vitu.
Vitu huchakaa, huoza, hubomoka, huchacha, na mara nyingi mwenye vitu akiondoka vingi kati ya vitu vyake huondoka naye.
Lakini akiba ya mafanikio ya kutimiza kusudi la Mungu ndani yako hudumu, hata katika nyakati ambazo wewe haupo hai, mafanikio haya huwa hai, siku ambazo husemi yenyewe husema, siku ambazo umenyamaza yenyewe huongea.
CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo…
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!
Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.