Chondechonde wanaume unapoamka asubihi kwenda kazini ni vizuri kuamsha wake zenu mjue wapo wazima ndio muondoke kwenda kazini maana kuna wanawake wanalala kama wanawake wa kitabu. Kuamka saa nne kwa hivyo muwashtue mjue iwapo wazima.
kuna wanaume wanaondoka kama wezi hawaagi wake wao, wanaacha hela mezani mtakutana na mazito unaondokaje hujui mkeo mzima je, ukiwa njiani ukiambiwa mkeo kafa na umetoka nyumbani mida hiyo.
Ni vizuri mnawasiliana na familia zenu mchana unakuta mtu kaondoka kwenda kazini hajui mkewe kamka mzima na anashinda pasipo kuwajulia hali itakuaje unarudi nyumbani unakuta matatizo aga ukiondoka pia wajulie hali mchana.
CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo…
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!
Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.
