Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Wapo ambao MATESO yao yanatokana na mtu mmoja ambaye AMEWACHAFUA mahali.
Yaani, kuna mtu ameenda mahali ameelezea mambo ya UONGO yanayokuhusu.
Ametunga stori mbaya kuhusu wewe ambazo hata wewe mwenyewe huzijui.
Kwa sababu hii, kuna watu WAMEKUCHUKIA kwa sababu ya hayo maneno.
Kuna NAFASI umekosa kwa sababu ya huo UZUSHI.
Kuna MAAMUZI yamefanywa kukuumiza kwa sababu ya UONGO WAO.
Unaweza kushangaa, Mbona kuna mambo yako hivi; kumbe ni hayo maneno ya uongo Uliyotungiwa.
Nakuombea MUNGU AKUTETEE.
Nakuombea MUNGU afungue AKILI na MACHO ya walioamini huo UONGO ili WAUJUE UKWELI…
…kabla mambo hayajaharibika zaidi na haujafanyiwa mambo MABAYA ZAIDI.
Mungu awe MTETEZI WAKO!
Kama umeipenda makala hii…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.