Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

USIJENGE Kwenye Kituo Cha Daladala…
Kuna mahali upo Ila UNAPITA, sio kwamba ndio UMEFIKA.
Kuna wengi sana WAMEJENGA na KUHAMIA kituoni.
Yaani, kuna KAZI umepata sio kwamba ndio UMEFIKA…
…ila inakuandaa kwa KAZI KUBWA zaidi ambayo INAKUJA.
Hakikisha unaifanya kwa ubora na unapata kila UJUZI unaohitajika.
Pia, Kuna watu ambao UNAKUTANA NAO leo…
…kazi yao KUBWA ni kukuandaa kwa ajili ya HUKO MBELENI.
Wengine watakufanyia VISA…
Wengine watakupa MAUMIVU MAKALI…
Na wengine watakusababishia MAJUTO.
Ila wote hawa walikuwa wapitaji…
…wanaokuandaa kwa ajili ya kule UNAKOKWENDA.
Usianze kujenga kwenye kituo cha Daladala…
…tumia kujiandaa ili upande gari linalofuata.
Naomba kama umejifunza kitu fanya mambo haya mawili…
All Rights Reserved Cantona Group Ltd||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.