Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Moja ya tatizo kubwa linalokabili kizazi chetu kwa sasa ni “LifeStyle Creep”.
Yaani, tabia ya kufanya vitu ambavyo ni “Luxury” kuvigeuza kuwa ni vya lazima (Necessity).
Watu wengi wanapoteza pesa kwenye vitu ambavyo wamejiwekea “Lazima kununua”, wakati hata wasiponunua maisha yanaendelea.
Kagua hali yako ya kifedha, kuna aina ya vitu ambavyo unaweza kabisa kuacha kununua ili kupunguza matumizi yako.
Wengi wanatumia pesa nyingi KUONESHA na KURIDHISHA watu kuwa WAMEFANIKIWA.
Matokeo yake, wanaingia gharama kubwa KUVAA, KUNUNUA simu za gharama, Magari ya gharama kubwa n.k
Kuna kitu HAUTAKIWI kusahau, watu hao hao ambao WANAKUSIFIA leo ndio kesho WATAGEUZA KIBAO na kuanza KUKUCHEKA.
Be Wise, Spend Wise!
“It wasn’t raining when Noah built the ark.”-Howard Ruff
Salamu iwafikie waakazi wa
All Rights Reserved © Cantona Group Ltd||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.