Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Na: Cantona Joseph|RFA

Serikali ya Tanzania imeondoa amri ya kuwa majumbani kuanzia saa 12 jioni imeondolewa.
Taarifa hiyo iliyotolewa na Jeshi la Polisi kufuatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia wakati wa hafla ya kuapishwa tarehe 3/11.2025.
Amri hiyo ilikuwa imetolewa kufuatia vurugu za maandamano yaliyotokea siku ya uchaguzi.
Hapo jana, serikali ilitoa taarifa ya wafanyakazi kurejea katika shughuli zao kama kawaida.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.