Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Na : Cantona Joseph|RFA

Waziri wa ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth katika mkutano kati ya Rais Donald Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyPicha: Tom Brenner/AFP
Waziri wa ulinzi wa Marekani Pete Hegseth, amesema kuwa anaunga mkono mpango wa Japan wa kuimarisha ulinzi wake na kusema ni hatua muhimu kusonga mbele.
Wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari baada ya kukutana na mwenzake wa Japan mjini Tokyo Shinjiro Koizumi, Hegseth amesema amefurahi kuona, pamoja na Rais Trump, Waziri Mkuu Takaichi, kujitolea kuongeza matumizi ya ulinzi ya Japan.
Mkutano wao unakuja siku moja baada ya Waziri Mkuu wa Japan Sanae Takaichi kumwambia Rais wa Marekani Donald Trump kwamba alikuwa na nia ya kuimarisha uwezo wa ulinzi wa Japan na kuelezea hamu yake ya kufikia enzi mpya ya amani na ufanisi ya muungano huo.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.