Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: September 2025

Wafanyakazi wa uwanja wa ndege Kenya watishia kugoma

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini Kenya (KAWU), leo kimetoa notisi ya siku saba kabla ya kufanya mgomo,… Read more “Wafanyakazi wa uwanja wa ndege Kenya watishia kugoma”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Spika wa DRC Vital Kamerhe ajiuzulu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vital Kamerhe, Spika wa Baraza la Chini la Bunge katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amewasilisha jana waraka wa kujiuzulu… Read more “Spika wa DRC Vital Kamerhe ajiuzulu”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Uvumilivu hula Mbivu..

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuna mambo kwenye maisha HAYATATOKEA haraka kama unavyotaka… Kuna watu kwenye maisha hautafahamiana nao kwa haraka kama unavyotaka. Kuna FURSA… Read more “Uvumilivu hula Mbivu..”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Kinacho athiri mtazamo wako ni Attitude.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kitu kingine kikubwa sana ambacho kinaathiri sana mitazamo yetu (Attitude)… ….juu ya mambo tunayopitia ni maneno ambayo tunajiambia wenyewe kila… Read more “Kinacho athiri mtazamo wako ni Attitude.”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Dembele ashinda Tuzo la Ballon d’Or huku PSG wakitawala kwa tuzo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mchezaji wa Paris St-Germain Ousmane Dembele ameshinda tuzo yake ya kwanza ya Ballon d’Or huku washindi watatu wa Ufaransa wakiondoka… Read more “Dembele ashinda Tuzo la Ballon d’Or huku PSG wakitawala kwa tuzo”

September 23, 2025 by CantonaDigital

BEST SLEEPING HABITS:

Radio Fortune Africa -Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 1. Wear something easy to remove, comfortable and sexy. Make the work of your partner easy to peel off your clothes… Read more “BEST SLEEPING HABITS:”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa kwenye mahakama ya ICC

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zinazoongozwa na jeshi, kwa pamoja, zimetangaza kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, kwa kile inachosema… Read more “Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa kwenye mahakama ya ICC”

September 23, 2025 by CantonaDigital

ICC inamshtaki Rodrigo Duterte kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte ameshtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).… Read more “ICC inamshtaki Rodrigo Duterte kwa uhalifu dhidi ya binadamu”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Uvumilivu ni kazi Ngumu sana..

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyewahi kuwa spika wa bunge la marekani ambaye pia ni mwandishi wa vitabu…. Newt Gingrich aliwahi kusema… “Perseverence is the… Read more “Uvumilivu ni kazi Ngumu sana..”

September 23, 2025 by CantonaDigital

Jeshi la Ukraine lazima shambulio la usiku la ndege zisizo na rubani 150 za Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moto ulizuka katika jengo la ghorofa kubwa huko Boryspil, karibu na Kyiv, na kuharibu magari na nyumba za watu binafsi,… Read more “Jeshi la Ukraine lazima shambulio la usiku la ndege zisizo na rubani 150 za Urusi”

September 22, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...