Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vikwazo vikubwa vya kiuchumi na kijeshi dhidi ya Iran vilivyoondolewa chini ya makubaliano ya kihistoria ya kimataifa kuhusu mpango wake… Read more “Vikwazo dhidi ya Iran kurejeshwa kutokana na shughuli za nyuklia zilizopigwa marufuku”
Month: September 2025
Madagascar: Jiji kuu lasalia mahame baada ya maandamano ya Alhamisi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jiji kuu la Madagascar, Antananarivo, limesalia mahame baada ya maandamano makubwa ya Alhamisi ya wiki hii yaliyoshuhudia vurugu, ambapo raia… Read more “Madagascar: Jiji kuu lasalia mahame baada ya maandamano ya Alhamisi”
UN yaonya kuwa Sudan Kusini inaelekea pabaya
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, ameonya kuwa nchi ya Sudan Kusini inaelekea kutumbukia katika… Read more “UN yaonya kuwa Sudan Kusini inaelekea pabaya”
Qatar yasema inajitolea kuhakikisha amani inarejea nchini DRC
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchi ya Qatar, imetangaza kujitolea kwake kuhakikisha amani inarejea mashariki mwa DRC, na kanda nzima ya nchi za maziwa makuu.… Read more “Qatar yasema inajitolea kuhakikisha amani inarejea nchini DRC”
Picha za satelaiti zaonesha ujenzi katika maeneo ya nyuklia ya Iran baada ya mashambulizi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Miezi mitatu baada ya Marekani na Israel kushambulia maeneo ya nyuklia ya Iran, picha mpya za satelaiti zinaonesha dalili za… Read more “Picha za satelaiti zaonesha ujenzi katika maeneo ya nyuklia ya Iran baada ya mashambulizi”
Trump asema ‘hatamruhusu’ Netanyahu kuuchukua Ukingo wa Magharibi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani amesema hayo kabla ya hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.… Read more “Trump asema ‘hatamruhusu’ Netanyahu kuuchukua Ukingo wa Magharibi”
Soko la Soka Ulaya Ijumaa: Konate atakubali kusaini mkataba mpya Liverpool?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Liverpool ina mataumaini kuwa itafanikiwa kumshawishi mlinzi wa Ufaransa Ibrahima Konate, 26, kusaini kandarasi mpya huku klabu za Arsenal, Chelsea… Read more “Soko la Soka Ulaya Ijumaa: Konate atakubali kusaini mkataba mpya Liverpool?”
“You don’t have what it takes to be a Musician”-Louis Armstrong
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Louis Armstrong alikuwa ni mmoja wa wanamuziki wa Jazz waliofanikiwa sana… Hata hivyo kuna siku alielezea kisa chake kimoja ambacho… Read more ““You don’t have what it takes to be a Musician”-Louis Armstrong”
Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wakwama huku Israel ikifunga vivuko vya kimataifa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Israel imefunga kivuko pekee kati ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel na nchi jirani ya Jordan, na kuwazuia zaidi… Read more “Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wakwama huku Israel ikifunga vivuko vya kimataifa”
Rais wa zamani wa Malawi Peter Mutahrika mwenye umri wa miaka 85 ashinda uchaguzi wa rais
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wapiga kura wamemkataa rais wa sasa Lazarus Chakwera baada ya muhula mmoja madarakani wa miaka mitano ambapo walishuhudia mgogoro mbaya… Read more “Rais wa zamani wa Malawi Peter Mutahrika mwenye umri wa miaka 85 ashinda uchaguzi wa rais”