UTAKACHOFANYA baada ya KUFELI

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Nimewahi kushindwa kwenye MAMBO MENGI kwenye MAISHA yangu hata yale ambayo wakati naanza kufanya niliona nina 100% ya kufanikiwa.

Kitu cha MUHIMU nilichoamua ni kuwa sitaruhusu KUSHINDWA KWA MUDA MFUPI kuue NDOTO ZANGU ZA MUDA MREFU.

Hata kama leo umefeli, jambo muhimu hapa sio UMEFELI KWA KIWANGO GANI…

…ila ni kile UTAKACHOFANYA baada ya KUFELI.

Na hapa nazungumzia ile aina ya kufeli ambayo UMEPOTEZA KILA KITU…

…UMEPATA AIBU na UNASIKIA MAUMIVU na HAUNA NGUVU ZA KUENDELEA.

Je, UKO TAYARI KUENDELEA?

Kumbuka “Feel the PAIN and DO IT ANYWAY”

(Sikia Maumivu Lakini Amua Kufanya Tu!)

Kila la kheri.

Mafanikio ni pale unapoamua kuendelea mbele baada ya kufeli.

Unayo nafasi ya kutimiza Ndoto Zako.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment