Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wanasema wamekubaliana mpango mpya wa amani wa Gaza,… Read more “Netanyahu asema Israel itapinga kwa nguvu kuundwa kwa taifa la Palestina”
Month: September 2025
Shirika lisilo la kiserikali linataka ukaguzi wa Mfuko wa madini kwa vizazi vijavyo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Pesa za Mfuko wa madini kwa vizazi vijavyo zinakwenda wapi? Mfuko huu ambao umeundwa ili kuhakikisha maisha ya “baada ya… Read more “Shirika lisilo la kiserikali linataka ukaguzi wa Mfuko wa madini kwa vizazi vijavyo”
Kampeni ya uchaguzi wa urais zaanza rasmi nchini Uganda.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Uganda, kampeni za urais za Januari 12, 2026, zinaanza Jana Jumatatu, Septemba 29. Rais wa sasa Yoweri Museveni, 81,… Read more “Kampeni ya uchaguzi wa urais zaanza rasmi nchini Uganda.”
Mataifa ya Kiislamu yaungana na mataifa yenye nguvu ya Ulaya kuunga mkono mpango wa amani huko Israel/Gaza.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mataifa 8 ya kiislamu yametangaza kuunga mkono mpango wa Amani wa rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu vita vya Gaza… Read more “Mataifa ya Kiislamu yaungana na mataifa yenye nguvu ya Ulaya kuunga mkono mpango wa amani huko Israel/Gaza.”
Mahakama yatupilia mbali pingamizi ya mawakili wa utetezi katika kesi ya Machar
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama maalumu nchini Sudan Kusini inayosikiliza kesi ya uhaini, mauaji na dhulma za kibinadamu dhidi ya aliyekuwa makamu wa kwanza… Read more “Mahakama yatupilia mbali pingamizi ya mawakili wa utetezi katika kesi ya Machar”
Rais Rajoelina, wa Madagascar amelivunja baraza lake la mawaziri baada ya maandamano ya vijana
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ametangaza kulivunja baraza lake la mawaziri kufuatia maandamano mabaya Zaidi kuripotiwa kwenye kisiwa hicho, raia… Read more “Rais Rajoelina, wa Madagascar amelivunja baraza lake la mawaziri baada ya maandamano ya vijana”
USIDHARAU MAMBO HAYA 10 KAMA WEWE NI MFANYABIASHARA. YAFANYE MARA KWA MARA..
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wengi wanataka mafanikio ila wanadharau vitu vitu hivi vya msingi. Weka umakini katika haya.. … 1.Kumtanguliza Mungu katika maisha yako… Read more “USIDHARAU MAMBO HAYA 10 KAMA WEWE NI MFANYABIASHARA. YAFANYE MARA KWA MARA..”
Biashara Yako Haikui? Tumia Mbinu Hizi 10 Kukuza Biashara Yako .
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Biashara bila ukuaji ni sawa na kusimama mahali pamoja. Ikiwa kweli unataka biashara yako ikutengenezee matokeo makubwa, basi inapaswa kukua… Read more “Biashara Yako Haikui? Tumia Mbinu Hizi 10 Kukuza Biashara Yako .”
Trump na Netanyahu wakubaliana mpango mpya wa amani wa Gaza
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chanzo cha Palestina kinachofahamu mazungumzo ya kusitisha mapigano kiliambia BBC kwamba maafisa wa Hamas wamepewa pendekezo lenye kugusia vipendele 20… Read more “Trump na Netanyahu wakubaliana mpango mpya wa amani wa Gaza”
Soko la soka Ulaya Jumanne: Tottenham, Man United, Manchester City na Aston Villa zamwania Semenyo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mshambulizi wa Bournemouth Antoine Semenyo anaendelea kuvutia nia licha ya kusaini kandarasi mpya msimu wa joto, huku Tottenham, Manchester United,… Read more “Soko la soka Ulaya Jumanne: Tottenham, Man United, Manchester City na Aston Villa zamwania Semenyo”