Mambo makubwa hauwezi ukayapata kwa kusubiri.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Mambo MADOGO kwenye maisha unaweza kuyapata kwa KUYASUBIRIA, ila mambo MAKUBWA huwa yanapatikana kwa KUYAFUATA na KUYAPIGANIA.

Kama kuna kina kitu UNAKIHITAJI, basi chukua HATUA KUKIFUATA. Kama kuna FURSA unaitamani, fanya MAAMUZI ya kuipigania.

Usisahau kuwa kwenye maisha yako kuna yale MAJIRA ambayo ITABIDI UJITOE kwa ajili ya kitu ambacho wengine HAWAKITHAMINI kama wewe UNAVYOKITHAMINI.

Kuna watu wengi sana ambao WALIACHA NDOTO ZAO KUBWA, walisitisha MALENGO YAO, wengine WALIKATA TAMAA kufukuzia MAONO yao kwa sababu ya kuona watu wa karibu HAWAWASAPOTI.

Leo, BADALA ya kusubiri UNACHOKITAKA, AMUA kuchukua HATUA ya KUKIFUATA.

Nasubiria USHUHUDA wako wa USHINDI utakapochukua HATUA LEO.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment