Maadui Watano Wa Kiongozi…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Udhaifu Wako Unaokusumbua

ii. Kiburi

iii. Umaarufu

iv. Watu Wanaohisi Unataka Kuchukua Nafasi Zao

v. Kujizungushia Marafiki Ambao Sio Sahihi

Katika makala hii tutazungumzia Adui Wa Nne

– Watu Wanaohisi Unataka Kuchukua Nafasi Zao

Kwenye kila nafasi uliyonayo ya kiuongozi kuna watu ambao watakuona kama ni tishio.

Watu hawa wanaweza kuwa katika sekta moja ambayo na wewe upo, kwenye taasisi moja au kwenye ofisi moja kabisa.

Kadiri unavyoendelea kung’aa na kupendwa na bosi wako ndivyo ambavyo watakuwa wanazidi kukuchukia.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment