Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Jeshi la Ulinzi wa Kitaifa nchini Marekani limeanza kuwasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Washington DC.
Trump alitangaza “dharura ya usalama wa umma” siku ya Jumatatu, na wanajeshi 800 watapelekwa kusaidia kupambana na uhalifu.
Meya wa jiji hilo Muriel Bowser amekataa madai ya rais kuhusu uhalifu, ingawa kulikuwa na ongezeko kubwa la uhalifu 2023, takwimu zinaonyesha kuwa uhalifu umeshuka tangu wakati huo.
Trump pia alitangaza kuwa jeshi litachukua udhibiti wa idara ya polisi ya jiji – ni mara ya kwanza rais amefanya hivyo.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.