Jenga katika Ukimya.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Niliwahi kusikia mwenye hekima mmoja akisema…

“People Can’t Attack What They Dont Know”.

Yaani watu hawawezi KUSHAMBULIA kitu ambacho HAWAKIJUI.

Kuna watu ambao MWISHO wao ULIANZIA pale ambapo…

…walionesha kitu HADHARANI ambacho kilikuwa kinatakiwa kuwa SIRINI.

Kumbuka hili, kuna vitu ambavyo KAMWE hautatikiwi kuviweka hadharani.

Yaani UVIFICHE kama “Password” ya kadi yako ya BENKI.

Lakini pia, kuna vitu itatakiwa UVIFICHE kwa sasa, kisha UTAVIONYESHA baadaye.

Usisahau kuwa, kuna watu hawajawa ADUI ZAKO leo kwa sababu…

…HAWAJUI kila kitu ULICHONACHO na hawajui KINACHOKUPA FURAHA.

Siku WAKIKIJUA WASICHOPASWA kukijua, watageuka kuwa MWIBA.

CHAGUA cha KUONESHA…

Na chagua MUDA WA KUONESHA ili USIVUTIE MASHAMBULIZI yasiyo ya LAZIMA.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment