Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

kwenye hatua inayofuata huwa ANATUMA WATU kwako…
____Watu hawa wanapewa MOYO wa tofauti kwa ajili yako.
Wakija kwako, watakuonyesha upendo kwa namna isiyo ya kawaida.
Watakuwa tayari KUBEBA MIZIGO pamoja nawe.
Aina hii ya watu wakija kwako, huwa hawajiulizi watapata nini kutoka kwako…
…ila huwa wanaangalia namna ya kukufanya uwe bora zaidi.
Aina hii ya watu sio wengi na kuwapata ni kazi sana.
Wengine unaweza ukawadharau kwa sababu ya walivyo…
…wengine unaweza kuwachukulia poa kwa sababu kila saa watapatikana na kujitoa kwako.
Ukiwapata WATHAMINI, ukikutana nao WAPE MUDA wako…
…ukiwaona wape NAFASI kwenye moyo wako.
Wapo ambao watakuja kwa muda mfupi…
…ila wapo ambao ni wa kudumu kwenye maisha yako.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.