KWA NINI WATU WENGI WANAPOTEZA NDOTO ZAO.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

1.Wana mashaka.

Watu ambao wana mashaka mengi Ni vigumu kufikia ndoto zao.

Usipoteze hamasa,usifwatilie sana mambo ambayo hayawezi kukuza ndoto yako. Usizingatie wanachokufahamisha wenzako ndoto yako haitatimia.Wakati unapokua na mashaka,kwamba ndoto yako haitatimia maana unakosa kufatiia inuku unafwatilia wanayosema

2.Kutojiamini.

Unapokosa kujiamini ni hatari sana ndoto yako.ili kutimia,usiyumbishe ndoto yako kwa kukosa kujiamini,chukua hatua ya kufikia ndoto yako kwa kujiamini.

3.Kushindwa.

Unapo ruhusu kushindwa unayumbisha ndoto yako,usiwe kwanza kuyumbisha ndoto yako ewewe kukataa tamaa unapofanya hivi unaharibu kabisa.Unapofeli ni fursa ya kuanza tena.

Unauwezo wa kufanikiwa ni kipi ambacho kinayumbisha mawazo yako kufika kileleni.Je ni ndoa imevunjika,ni biashara umefilisika. Usikate tamaa.

4.Unapokosa kuona matokeo.

Usiangalie wengine wanapofanikiwa,wanaweza wanajenga nyumba ya udogo.

Unapojenga nyumba ya orofa unaweza kukosa kuona matokeo maana unaweka nguvu zako kwenye msingi utayaona matokeo siku za alafu ni taratibu tuu.

5.Usijiling’anishe na watu wengine.

Unaposafiri katika barabara ya kutafuta ndoto yako,fahamu upo pekee yako.

Fanya juhudi,unaanza mahali fulani unaelekea mahali fulani. Una ramani ya unachotaka. Take one step at time.

5. Unapokubali kukaa pa kawaida.

Utashindwa kufikia ndoto yako unapokubali kufika.Usikubaliane na hali ya kawaida.Weka mikakati ya hatua.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment