Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: July 2025

Ni ‘Siku ngumu kwetu’ – Ureno yamuomboleza Jota katika Euro 2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa “Bila shaka, kama tungekuwa na uwezekano wa kubadilisha kilichotokea, tungebadilisha kila kitu kwa uhakika. Lakini hii ni siku ngumu kwetu.”… Read more “Ni ‘Siku ngumu kwetu’ – Ureno yamuomboleza Jota katika Euro 2025”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ayahimiza makampuni kuacha kufanya biashara na Israel

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa makampuni kadhaa ya kimataifa kuacha kufanya biashara na Israel, akionya kwamba yanaweza… Read more “Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ayahimiza makampuni kuacha kufanya biashara na Israel”

July 4, 2025July 4, 2025 by CantonaDigital

Mbinu Tatu Unazotakiwa Kutumia Ili Kuwasilisha Hoja Zako Kwa Ushawishi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Fungua Mazungumzo Yako Kuamsha Hisia/Akili Za Wanaokusikilizaii. Jenga Kuaminika (Build your Credibility)iii. Onyesha Hisia / Onyesha Inagusa Sana (Display… Read more “Mbinu Tatu Unazotakiwa Kutumia Ili Kuwasilisha Hoja Zako Kwa Ushawishi.”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Njia Tano Mwanamke Anaweza Kutumia Kufanya “Self-Promotion”

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Hadithia kuhusu wewe (Tell A Story About Yourself)ii. Usitumie Maneno Ya Kuwafanya Watu Watilie Mashaka Uwezo Wako (Don’t use… Read more “Njia Tano Mwanamke Anaweza Kutumia Kufanya “Self-Promotion””

July 4, 2025 by CantonaDigital

Kuna vita vingine usipigane…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ni ngumu sana KUSHINDA vita ya KUMPIGANIA mtu ambaye yeye mwenyewe AMEFANYA MAAMUZI ya KUONDOKA. Kuna wakati lazima UPIME, aidha… Read more “Kuna vita vingine usipigane…”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Korea Kaskazini inaweza kutuma hadi wanajeshi 30,000 zaidi nchini Urusi – Ukraine

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Korea Kaskazini inakusudia kuongeza mara tatu idadi ya wanajeshi wake wanaopigana upande wa Urusi katika vita na Ukraine, na kutuma… Read more “Korea Kaskazini inaweza kutuma hadi wanajeshi 30,000 zaidi nchini Urusi – Ukraine”

July 3, 2025 by CantonaDigital

Shambulio la Marekani limerudisha nyuma mpango wa nyuklia wa Iran kwa mwaka mmoja hadi miwili: Pentagon

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kwamba mashambulizi ya nchi yake yamerudisha nyuma mpango wa nyuklia wa Iran… Read more “Shambulio la Marekani limerudisha nyuma mpango wa nyuklia wa Iran kwa mwaka mmoja hadi miwili: Pentagon”

July 3, 2025 by CantonaDigital

Wakili ajipata mashakani kwa kunywa pombe wakati kesi ikiendelea

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makakama kuu ya Gujarat nchini India imeanza kusikiliza kesi dhidi ya wakili ambaye alionekana kwenye video akinywa bia na na… Read more “Wakili ajipata mashakani kwa kunywa pombe wakati kesi ikiendelea”

July 3, 2025 by CantonaDigital

‘Diddy’ anyimwa dhamana baada ya kuondolewa mashtaka makubwa zaidi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Hakimu mmoja amemnyima dhamana Sean “Diddy” Combs baada ya mahakama kumtia hatiani msanii huyo wa muziki wa hip-hop kwa kosa… Read more “‘Diddy’ anyimwa dhamana baada ya kuondolewa mashtaka makubwa zaidi”

July 3, 2025 by CantonaDigital

KIPENGA CHA MICHEZO

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: West Ham yakataa ombi la Tottenham kumsajili Kudus West Ham imekataa dau la pauni milioni 50… Read more “KIPENGA CHA MICHEZO”

July 3, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...