Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: July 2025

Rais wa Kenya William Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Kenya William Ruto amesema anajenga kanisa katika Ikulu jijini Nairobi ambalo atagharamia mwenyewe – na kuongeza kuwa hana… Read more “Rais wa Kenya William Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu”

July 5, 2025 by CantonaDigital

Mafuriko Texas yaua watu 24 huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Operesheni kubwa ya utafutaji na uokoaji imeendelea usiku kucha huko Texas baada ya kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha vifo vya takriban… Read more “Mafuriko Texas yaua watu 24 huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo”

July 5, 2025 by CantonaDigital

Palestine Action yapigwa marufuku baada ya jaji kukataa kuizuia kwa muda

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirika la Palestine Action limepigwa marufuku baada ya jaji kukataa ombi lake la kuizuia kwa muda serikali ya Uingereza kulitangaza… Read more “Palestine Action yapigwa marufuku baada ya jaji kukataa kuizuia kwa muda”

July 5, 2025 by CantonaDigital

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 wako tayari kwa mazungumzo ya Doha

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23 wamesema kwamba watatuma wajumbe nchini Qatar kwa mazungumzo ya… Read more “Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 wako tayari kwa mazungumzo ya Doha”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Usalama waimarishwa kabla ya mazishi ya mwanablogu wa Kenya Albert Ojwang

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Viongozi wakuu wa usalama kutoka makao makuu Kisumu, magharibi mwa Kenya wamewasili Kaunti ya Homa Bay, kabla ya mazishi mwanablogu… Read more “Usalama waimarishwa kabla ya mazishi ya mwanablogu wa Kenya Albert Ojwang”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Katika picha: Mashabiki wa Liverpool wamuomboleza Jota

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mashabiki wa Liverpool wamekuwa wakiweka mashada ya maua uwanja wa Anfield kumuomboleza mchezaji Diogo Jota aliyefariki katika ajali nchini Uhispania… Read more “Katika picha: Mashabiki wa Liverpool wamuomboleza Jota”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Vituo vya Afya Kenya 1000 vyafungwa nchini Kenya.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake imevifungia zaidi ya vituo 1,000 vya afya vilivyohusika na udanganyifu dhidi ya Mamlaka… Read more “Vituo vya Afya Kenya 1000 vyafungwa nchini Kenya.”

July 4, 2025July 4, 2025 by CantonaDigital

Kyiv yapigwa na droni za Urusi na makombora ya balestiki usiku kucha na kusababisha majeruhi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Urusi imeushambulia mji mkuu wa Ukraine Kyiv kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya balestiki usiku kucha. Shambulio hilo… Read more “Kyiv yapigwa na droni za Urusi na makombora ya balestiki usiku kucha na kusababisha majeruhi”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 wako tayari kwa mazungumzo ya Doha

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23 wamesema kwamba watatuma wajumbe nchini Qatar kwa mazungumzo ya… Read more “Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 wako tayari kwa mazungumzo ya Doha”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Trump asema ameshindwa kupata mafanikio katika mazungumzo na Putin

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump amesema hakuweza kupata mafanikio yoyote katika usitishaji mapigano nchini Ukraine wakati alipozungumza kwa njia ya… Read more “Trump asema ameshindwa kupata mafanikio katika mazungumzo na Putin”

July 4, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...