Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: July 2025

Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miaka 48

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanaume ambaye alichukuliwa kwa nguvu kutoka kwa Mama yake akiwa mtoto mchanga wakati wa utawala wa kijeshi wa Argentina na… Read more “Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miaka 48”

July 8, 2025 by CantonaDigital

China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake… Read more “China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko Marekani yavuka 100

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katikati mwa jimbo la Texas, Marekani siku ya Ijumaa sasa imepanda zaidi 100… Read more “Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko Marekani yavuka 100”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Ofisi ya Umoja wa Mataifa yataka uchunguzi mauaji ya waandamanaji Kenya

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) imeelezea wasiwasi wake kuhusu maandamano ya siku… Read more “Ofisi ya Umoja wa Mataifa yataka uchunguzi mauaji ya waandamanaji Kenya”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Shambulizi la Nyuki lawaacha watatu katika hali mbaya na makumi wakijeruhiwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu watatu katika mji mmoja huko Ufaransa wako katika “hali mbaya” kufuatia kushambuliwa na nyuki mwishoni mwa juma na pia… Read more “Shambulizi la Nyuki lawaacha watatu katika hali mbaya na makumi wakijeruhiwa”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Israel inapanga kuwapeleka Wagaza wote katika eneo moja la Rafah

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa ulinzi wa Israel anasema amewaagiza wanajeshi wake kuandaa mpango wa kuwahamisha Wapalestina wote walioko Gaza na kuwapeleka katika… Read more “Israel inapanga kuwapeleka Wagaza wote katika eneo moja la Rafah”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Trump aahidi kuipatia silaha Ukraine

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatatu kwamba Marekani itatuma silaha zaidi nchini Ukraine. Wiki iliyopita , Pentagon ilitangaza kuwa… Read more “Trump aahidi kuipatia silaha Ukraine”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Rais wa Iran asema Israel ilitaka kumuua wakati wa vita

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mtangazaji wa TV kutoka Marekani Tucker Carlson ametoa mahojiano yake na Rais wa Iran Masoud Pezzekian. Siku mbili zilizopita, alitoa… Read more “Rais wa Iran asema Israel ilitaka kumuua wakati wa vita”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Mshukiwa wa mauji ya wakwe zake Australia apatikana na hatia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama ya Australia imempata mwanamke wa Australia na hatia mnamo Jumatatu, Julai 7, kwa kuwapa sumu wakwe zake kwa kuchafua… Read more “Mshukiwa wa mauji ya wakwe zake Australia apatikana na hatia”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Marekani yachelewesha tozo ya juu lakini yatangaza viwango vipya kwa baadhi ya mataifa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais Donald Trump amechelewesha kutoza ushuru wa juu zaidi kwa bidhaa zinazoingia nchini Marekani, huku akituma barua kwa nchi 14… Read more “Marekani yachelewesha tozo ya juu lakini yatangaza viwango vipya kwa baadhi ya mataifa”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...