Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Mzigo Mzito Wa Kusaidia Wengi
ii. Majanga Yasiyoisha
iii. Upweke
iv. Hausaidiwi Na Uliowasaidia
Katika Makala Hii Tutazungumzia Mkasa Wa Tatu
– Upweke
Maisha ya mkombozi wa familia mara nyingi sana huwa ni ya upweke.
Hii ni kwa sababu watu huwa wanamini kuwa wewe ni mtu hodari.
Mtu usiyehitaji kufarijiwa kwenye chochote.
Ni kama wanaamini kuwa wewe huwa hausikii maumivu kabisa kwenye lolote.
Kwa sababu hii, watu wengi sana hawatakutafuta kukusalimia.
Au kukujulia hali.
Wengi wao ambao watakutafuta ni wale ambao…
…watakuwa wanahitaji msaada kutoka kwako.
Watu wengi huwa sio marafiki zako…
….au ndugu zako wa karibu, mara nyingi huwa wanajitokeza pale wanapokuwa wanahitaji msaada wako.
Kama umependa makala hii tafadhali share na wengine.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.