Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Mawakili wa utawala wa Trump na Chuo Kikuu cha Harvard watnatarajiwa kukabiliana mahakama mjini Boston leo Jumatatu kuhusu kukatizwa wa ufadhili wa mabilioni ya fedha za serikali ya Marekani.
Ikulu ya White House imezuia zaidi ya $2bn (£1.5bn) kama uzuku ya serikali, ikitaka mabadiliko ya uajiri wa Harvard, uandikishaji na mazoea ya kufundisha ili kukabiliana na chuki dhidi ya Wayahudi na kusitisha DEI – progamu ya utofauti, usawa na ushirikishwaji
Utawala wa Trump pia umechukua hatua kuzuia chuo kikuu kupata mfumo wa visa unaoruhusu kusajili wanafunzi wa kigeni.
Chuo kikuu cha Havard kiliwasilisha kesi mahakamani kupinga hatua hiyo.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.