Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Kutimiza Mahitaji Muhimu
ii. Kulea Watoto / Parenting tool
iii. Inadhihirisha Tabia
iv. Uimara wa Mwanaume
v. Kuleta Utulivu na Amani
Katika makala hii tutazungumzia nafasi ya pili ya pesa katika ndoa
– Kulea Watoto/Parental Tool
Kwa sasa gharama za maisha zimekuwa juu sana, kadri idadi ya watoto wanavyoongezeka ndivyo ambavyo utahitaji pesa nyingi zaidi.
Kama unataka watoto wako wapate elimu nzuri, kama unataka wavae vizuri na wapate matibabu mazuri, utahitaji kuwa na pesa katika familia yenu.
La sivyo kuna vitu utatamani wawe navyo na utashindwa, utatamani shule nzuri ila utashindwa, na utabaki unaumia kama mzazi.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.