Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Maarifa kuhusu Mungu
ii. Maarifa yanayohusiana na maono yako
Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina Ya Pili
– Maarifa yanayohusiana na maono yako
Eneo la pili unapaswa kuwekeza ni kuhusiana na maono uliyonayo.
Kama wewe una maono ya kufanya biashara.
Basi hakikisha unatafuta maarifa ya kibiashara…
…kupitia vitabu, kupitia semina au hata mitandao ya jamii.
Unatakiwa kuwekeza kwenye maarifa kwa kiwango ambacho watu watasema “kuna mtu mahali mtaalamu wa hiki”.
Hiki ndicho kilitokea kwa Daniel (Daniel 5:12).
Kama hakuna mtu anayekutambua kama mtu muhimu katika unachofanya, inamaanisha bado haujawekeza vya kutosha.
Je, unapanga kufanya nini ili uwekeze kwenye maarifa?
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.