Vituo vya Afya Kenya 1000 vyafungwa nchini Kenya.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake imevifungia zaidi ya vituo 1,000 vya afya vilivyohusika na udanganyifu dhidi ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA).

Akizungumza na Wakenya wanaoishi Uingereza, Rais Ruto alisema kuwa hatua hiyo inalenga kulinda uadilifu wa mpango huo mpya wa afya.

Waziri wa Afya Aden Duale pia alithibitisha kufungwa kwa hospitali 31 kwa makosa kama vile kudai malipo kwa wagonjwa hewa na kuongeza idadi ya vitanda kwa njia ya udanganyifu.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment