Njia Tano Mwanamke Anaweza Kutumia Kufanya “Self-Promotion”

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Hadithia kuhusu wewe (Tell A Story About Yourself)
ii. Usitumie Maneno Ya Kuwafanya Watu Watilie Mashaka Uwezo Wako (Don’t use self-diminishing Languages).
iii. Zungumza Malengo Yako Ya Baadaye (Share Your Big Vision).
iv. Tumia Fursa Za Kimkakati (Use SpotLight Opportunities)
v. Usiseme Uzoefu Wako, Sema Matokeo Yako (Speak your Achievements in terms of Impact)

Katika Makala Hii Tutazungumzia Njia Ya Tatu

– Zungumza Malengo Yako Ya Baadaye (Share Your Big Vision).

Kuna wanawake wengi ambao wanakosa fursa kwa sababu hawajaonyesha kama wanaitaka.

Watu wasipojua unataka kwenda wapi na una malengo gani, hawatakufikiria wanapotaka kukupa nafasi.

Watajua ulipo sasa hivi umesharidhika napo.

Ukipata fursa unayoona inafaa, jaribu kuonyesha maono yako unataka kuelekea wapi.

Hii itasaidia, inapotokea fursa fulani kukumbukwa.

Kumbuka: hii uifanye kwa makini, isiwe katika namna mkubwa wako ataanza kupata hofu kuwa unataka kumnyang’anya nafasi yake.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment