Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Wakati wa usiku, mifumo ya ulinzi wa anga “iliharibu na kukatiza” droni 60 za Ukraine, Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai.
Kulingana na taarifa hiyo, ndege zisizo na rubani 17 zilipigwa juu ya Crimea, huku aina ya UAV 16 zikipigwa juu ya eneo la mkoa wa Rostov, na 11 zilipigwa risasi juu ya maji ya Bahari ya Azov, tano zilipigwa zikapigwa juu ya mkoa wa Kursk, nne zikaangushwa katika mkoa wa Saratov. Nyingine tatu zilipigwa juu ya maji ya Bahari Nyeusi, mbili zikapigwa juu ya mkoa wa Belgorod, na moja ikapigwa juu ya mikoa ya Voronezh na Oryol.
BBC haiwezi kuthibitisha takwimu hizi. Siku moja kabla, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilitangaza kuwa ndege 15 zisizo na rubani za Ukraine zilidunguliwa usiku kucha wa kuamkia leo.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.