Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: June 2025

Watu wanne wauawa nchini Ukraine katika shambulio jipya la Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takriban watu wanne wameuawa katika shambulio la usiku la kombora la Urusi na ndege zisizo na rubani kwenye mji mkuu… Read more “Watu wanne wauawa nchini Ukraine katika shambulio jipya la Urusi”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Marekani yaitaka China kuizuia Iran kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio ameitaka China kuizuia Iran kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz, mojawapo ya njia… Read more “Marekani yaitaka China kuizuia Iran kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Shambulio la kujitoa mhanga laua 22 kanisani Damascus – Mamlaka ya Syria

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takriban watu 22 wameuawa na wengine 63 kujeruhiwa katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga katika kanisa moja mjini Damascus,… Read more “Shambulio la kujitoa mhanga laua 22 kanisani Damascus – Mamlaka ya Syria”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Israel yapata miili ya mateka watatu huko Gaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Miili ya mateka watatu wa Israel imepatikana kutoka Ukanda wa Gaza, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema. Alithibitisha kuwa… Read more “Israel yapata miili ya mateka watatu huko Gaza”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Saba washtakiwa kwa kusababisha majeruhi baada ya maandamano nje ya ubalozi wa Iran

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wanaume saba wamefunguliwa mashtaka baada ya watu wawili kudaiwa kuvamiwa nje ya ubalozi wa Iran na kujeruhiwa vibaya wakati wa… Read more “Saba washtakiwa kwa kusababisha majeruhi baada ya maandamano nje ya ubalozi wa Iran”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Bibi harusi apigwa risasi na kuuawa katika tafrija ya harusi yake Ufaransa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Bibi harusi aliuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia harusi yake katika kijiji karibu na mji wa kusini-mashariki wa Ufaransa… Read more “Bibi harusi apigwa risasi na kuuawa katika tafrija ya harusi yake Ufaransa”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Trump asherehekea kushambulia maeneo ya nyuklia ya Iran

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump aliandika ujumbe kwenye jukwaa la mawasiliano la Truth Social akisema Marekani ilisababisha “uharibifu mkubwa” katika… Read more “Trump asherehekea kushambulia maeneo ya nyuklia ya Iran”

June 23, 2025 by CantonaDigital

JPM: Kutoka maumivu, uhai, hadi uchumi Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliposimama katika mwalo wa Kigongo akiwa Mkemia katika Chama cha Ushirika cha Nyanza, John Pombe Magufuli alikumbwa na hofu isiyosahaulika.… Read more “JPM: Kutoka maumivu, uhai, hadi uchumi Tanzania”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Mambo 4 Ya Kuepuka Unapokuwa Na Stress Ili Uwe Salama…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Epuka kuamini kwamba hakuna suluhisho. ii. Usiamini kwamba kila mtu hafai. iii. Usikubali kubaki mpweke. iv. Usiache kuchukua hatua.… Read more “Mambo 4 Ya Kuepuka Unapokuwa Na Stress Ili Uwe Salama…”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Nguzo tano zinazobeba gguvu ya kipaji chako……..

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Jua Kipaji Chako Kimebeba THAMANI Gani ii. Kipaji Chako Kinalindwa Namna Gani? iii. Kipaji chako ni kwa ajili ya… Read more “Nguzo tano zinazobeba gguvu ya kipaji chako……..”

June 23, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...