Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: June 2025

Jeshi la Mali latangaza kuzima shambulio la wanamgambo mjini Tumbuktu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Mali linasema kuwa limetibua “jaribio la wapiganaji wa kigaidi kuvamia” kambi ya kijeshi ya Timbuktu kaskazini mwa nchi… Read more “Jeshi la Mali latangaza kuzima shambulio la wanamgambo mjini Tumbuktu”

June 3, 2025 by CantonaDigital

Bill Gates kutoa sehemu kubwa ya utajiri wake wa $200bn kwa Afrika

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates anasema kuwa sehemu kubwa ya mali yake itatumika kuboresha huduma za afya na elimu barani… Read more “Bill Gates kutoa sehemu kubwa ya utajiri wake wa $200bn kwa Afrika”

June 3, 2025 by CantonaDigital

Polisi Tanzania wazingira kanisa la Askofu Gwajima

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Polisi jijini Dar es Salaam Tanzania wameripotiwa kulizingira eneo lilipo jengo la kanisa la Ufufuo na Uzima linalomilikiwa na kiongozi… Read more “Polisi Tanzania wazingira kanisa la Askofu Gwajima”

June 3, 2025 by CantonaDigital

Uingereza yatishia kumshitaki Abramovich – Kunani?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Uingereza imetishia kumshtaki mmiliki wa zamani wa Klabu ya Soka ya Chelsea Roman Abramovich ili kushinikiza fedha zitakazotokana… Read more “Uingereza yatishia kumshitaki Abramovich – Kunani?”

June 3, 2025 by CantonaDigital

Wawili wafariki katika mlipuko Uganda

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu wawili wamefariki baada ya mlipuko kutokea katika mji mkuu wa Uganda Kampala wakati nchi hiyo inaadhimisha Siku ya Mashahidi… Read more “Wawili wafariki katika mlipuko Uganda”

June 3, 2025 by CantonaDigital

Mashambulizi dhidi ya raia ni uhalifu wa kivita, mkuu wa haki za binadamu wa UN aonya

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mashambulizi dhidi ya raia yanajumuisha uhalifu wa kivita, mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa anasema, huku akitoa… Read more “Mashambulizi dhidi ya raia ni uhalifu wa kivita, mkuu wa haki za binadamu wa UN aonya”

June 3, 2025 by CantonaDigital

Balozi wa Marekani ashutumu wito wa Ufaransa kutambua serikali ya Palestina

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Balozi wa Marekani wa Israel Mike Huckabee amekosoa vikali wito wa Paris wa kulitambua taifa la Palestina, akipendekeza katika taarifa… Read more “Balozi wa Marekani ashutumu wito wa Ufaransa kutambua serikali ya Palestina”

June 2, 2025 by CantonaDigital

Mwanamume akamatwa akiwa na nyoka 47 wenye sumu katika uwanja wa ndege wa Mumbai

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mamlaka nchini India imemkamata mwanamume mmoja kwa kujaribu kuingiza nyoka wenye simu ambao ni adimu kupatikana na wanyama wengine, nchini… Read more “Mwanamume akamatwa akiwa na nyoka 47 wenye sumu katika uwanja wa ndege wa Mumbai”

June 2, 2025 by CantonaDigital

Daktari ambaye watoto wake tisa waliuawa katika shambulizi la Israel huko Gaza afariki dunia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Daktari wa Kipalestina ambaye watoto wake waliuawa katika shambulizi la anga la Israel huko Gaza tarehe 23 Mei amefariki kutokana… Read more “Daktari ambaye watoto wake tisa waliuawa katika shambulizi la Israel huko Gaza afariki dunia”

June 2, 2025 by CantonaDigital

China yasema Marekani ‘imekiuka pakubwa’ makubaliano ya ushuru

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa China inasema Marekani “imekiuka pakubwa” makubaliano yao ya kibiashara na kwamba itachukua hatua kali kutetea maslahi yake. Wizara ya Biashara… Read more “China yasema Marekani ‘imekiuka pakubwa’ makubaliano ya ushuru”

June 2, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...