Mungu anapokuinua-atawatuma watu.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Mungu anapotaka KUKUINUA kwenye hatua inayofuata huwa ANATUMA WATU kwako…

____Watu hawa wanapewa MOYO wa tofauti kwa ajili yako.

Wakija kwako, watakuonyesha upendo kwa namna isiyo ya kawaida.

Watakuwa tayari KUBEBA MIZIGO pamoja nawe.

Aina hii ya watu wakija kwako, huwa hawajiulizi watapata nini kutoka kwako…

…ila huwa wanaangalia namna ya kukufanya uwe bora zaidi.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment