Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Nyota wa filamu za maisha halisi, waigizaji, wana familia ya kifalme na kundi zima watu maarufu wamesafiri hadi Venice kwa harusi ya kifahari kati ya mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez.
Oprah Winfrey, Orlando Bloom, Kylie Jenner na Ivanka Trump walikuwa baadhi tu ya watu mashuhuri walioonekana kwenye boti na mitaa ya jiji hilo la Italia siku ya Alhamisi na Ijumaa.
Sherehe hizo zinatarajiwa kudumu kwa siku tatu, na kumalizika kwa karamu kubwa kwa wanandoa hao na mamia ya wageni wao Jumamosi.
Tukio hilo limechochea maandamano kutoka kwa makundi mbalimbali huko Venice, ikiwa ni pamoja na wenyeji wanaopigania utalii kupita kiasi kwa wanaharakati wa mabadiliko ya hali ya hewa.
Sanchez, 55, aliyevalia vazi la lace la Dolce & Gabbana la haute couture kwa ajili ya harusi hiyo – alionekana akitabasamu pamoja na Bezos mwenye umri wa miaka 61,mwenye furaha, baada ya sherehe hiyo, kwenye picha (hapo juu) iliyowekwa kwenye Instagram.

Jeff Bezos akipunga mkono kutoka kwa boti ndogo yenye injini

Jared Kushner na Ivanka Trump, binti wa Rais wa Marekani Donald Trump

Mjasiriamali wa teknolojia wa Marekani Bill Gates na mwenza wake Paula Hurd

Kendall Jenner na Kylie Jenner

Kim Kardashian

Chanzo cha picha,Getty ImagesMaelezo ya picha,Oprah Winfrey

Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo wa Marekani Usher akiwa na nyota wa soka wa Marekani Tom Brady
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.