Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

ii. Ni chombo/eneo gani unaweza kuanza nalo kirahisi.
iii. Jenga uwezo wa kutumia njia uliyoichagua.
iv. Wekeza kwenye vifaa vyenye ubora.
katika Makala Hii Tutazungumzia Hatua ya Nne
– Wekeza kwenye vifaa vyenye ubora.
Hakikisha unawekeza kwenye vifaa vyenye ubora ili kutoa kitu chenye ubora.
Kama unaanza na mtandao unaotumia sauti basi boresha vizuri vyombo vyako vya sauti.
Kama unaanza na mtandao unaotumia picha zaidi basi boresha kamera zako na kama ni video basi boresha kamera zako za video.
Kumbuka kila kifaa unachonunua ni uwekezaji katika ufalme wa Mungu.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.