Aina ya Marafiki watano Unaowahitaji…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Marafiki wanaokutia moyo

ii. Marafiki wanaokupa changamoto

iii. Marafiki wanaokusikiliza.

iv. Marafiki wawazi

v. Marafiki wanaotuunganisha

Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina ya Kwanza ya marafiki unaowahitaji

– Marafiki Wanaotia Moyo

Kwa lugha nyingine tunawaita zulia jekundu (red carpet).

Ni marafiki ambao wapo kwa ajili ya kutujenga, kukutia moyo, kukuinua unapokwama na kukuambia unaweza.

Kazi ya kubwa ni kukuimarisha.

Ni watu ambao unawahitaji sana unapokuwa umefadhaika au kukata tamaa.

Neno lao ni nguvu na ujasiri wako.

Sio kila mtu atakuwa na wewe kwenye nyakati za uhitaji na kukwama ndio maana unahitaji aina hii ya marafiki.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment