Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Kipaji siyo kwa ajili yako bali kipaji ni kwa ajili ya wengine.
ii. Kuacha kukinoa kipaji chako.
iii. Tabia zinazofukuza watu.
iv. Kukosa Mlezi.
v. Marafiki wabaya
vi. Kuwekeza kwenye mfumo wa maisha kuliko vipaji vyao wenyewe
vii. Kushindwa kubadilisha kipaji chako kuwa biashara
Katika Makala Hii Tutazungumzia Jambo La Sita
– Kuwekeza kwenye mfumo wa maisha kuliko vipaji vyao wenyewe
Watu wengi wanapoanza kupata umaarufu kwa sababu ya kipaji kuna mambo mengi sana ambayo huwa yanatokea ambapo nakubaliana na hoja ya kwamba mabadiliko hayo hupelekea kubadilisha kiwango cha maisha mfano aina ya mavazi, usafiri, na maeneo unayokwenda.
Lakini mfumo wako wa maisha hautakiwi uongezeke kwa kasi sana kuliko kipato chako kwa sababu kumbuka kinachowavutia watu kwako siyo mwonekano wako tu bali kitu cha kwanza kinachowavutia watu kwako ni kipaji chako.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.