Aina 3 Za Watu Watakao Kuacha Peke Yako Katika Safari Yako Ya Mafanikio…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Watu watakaa mbali na wewe kwa sababu wanaona unaelekea kufeli.

ii. Watu wanaenda mbali na wewe ikiwa ni njia ya Mungu kukusaidia.

ii. Ambao hawaamini katika uwezo wako.

Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina Ya Tatu Ya Watu

– Ambao Hawaamini Katika Uwezo Wako.

Wanaona kama unalazimisha vile.

Kuna wengine watakwambia na kisha kukukimbia.

Ila kuna wengine watachomoka kimyakimya tu.

Usiwalazimishe kukuamini, kazana kufanya mambo makubwa.

Ukiachwa na watu haimaanishi hutafanikiwa.

Ni hatua muhimu kuelekea mafanikio yako.

Usiogope kamwe kubakia peke yako

(Never be afraid to remain alone).

Sina shaka utashinda tu katika changamoto unayopitia.

Vipi umeshawahi kupitia wakati huu? (Isolation Stage).

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment