Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

ii. Riba (Interest Income)
iii. Gawio la Faida (Dividend Income)
iv. Gharama Ya Kukodisha (Rental Income)
v. Ongezeko la Thamani (Capital Gains)
vi. Kipato kinachotokana na kazi zako za akili (Royalty Income)
Katika Makala Hii Tutazungumzia Njia ya Nne
– Gharama Ya Kukodisha (Rental Income)
Kwenye kutengeneza aina hii ya kipato, unatafuta kitu ambacho unaweza kukikodisha na watu wakakupatia pesa kwa kukitumia.
Kwenye njia hii, unaweza kuamua kutumia majengo ya ofisi au nyumba, au ukaamua kutumia gari la kukodisha au hata aina fulani ya mashine ambayo watu wanaweza kuikodisha na wakakulipa wewe pesa kwa kuitumia kwa muda ambao mmekubaliana.
Aina hii ya kipato, inaweza kuhitaji uwe na pesa nyingi za kuanzia lakini ni njia mojawapo ya kutengeneza pesa endelevu zisizohitaji uwepo wako.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.