Vyanzo 5 Vya Ndani Vya Stress…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Matatizo ya kimahusiano

ii. Matatizo ya kifedha

iii. Kuondokewa na mtu wa karibu mfano kuachwa au kufiwa.

iv. Kukabiliwa na Vitisho

v. Changamoto za ofisini

Katika Makala Hii Tutazungumzia Chanzo Cha Nne

– Kukabiliwa na Vitisho

Kuna stress ambayo huwa inasababishwa na vitisho ambavyo mtu anakabiliana navyo kwenye maisha yake.

Unapokuwa uko katika hali ya hofu kwa sababu ya kutishiwa mambo mbalimbali kama vile, kutishiwa kuuwawa…

Kutishia kukamatwa na polisi…

Kutishia kufungwa au kutishiwa siri zako kusemwa hadharani…

…basi mtu utajikuta katika hali fulani ya stress ambazo zitakusumbua kwa muda mrefu.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment